Muonekano wa jengo jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu linaloendelea kujengwa mkoani Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa
akikagua ujenzi wa ofisi hiyo unaoendelea mkoani Dodoma. Wa kwanza kulia
ni Mhandisi John Ainainyi Njau kutoka Benki ya Dunia nchini Tanzania.
Mkandarasi wa majengo kutoka kampuni ya Hainan International Ltd inayojenga Ofisi ya Taifa ya Takwimu mkoani Dodoma akitoa maelezo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina chuwa wakati alipotembelea kukagua ujenzi wa ofisi hiyo.
(PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).




No comments:
Post a Comment