Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na Mmoja wa Madereva wa Daladala inayofanya safari zake kituo cha River Side kwenda Makoka mara baada ya kuchonga barabara hiyo kwa kutumia fedha za mfuko wa jimbo.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, akizungumza na Dereva wa Bodaboda katika barabara ya Riverside Makoka mara baada ya kukagua barabara hiyo iliyochongwa kwa fedha za Mfuko wa jimbo
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na Wakazi wa eneo la Ubungo Makoka mara alipofika katika kituo cha Daladala eneo la Riverside kupata maoni yao nini kifanyike kuboresha barabara hiyo hili iweze kupitika muda wote
Mjumbe wa shina Makoka Phinias akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea juu ya barabara ya Makoka- Riverside mara baada ya kuchonga barabara hiyo kwa kutumia fedha za mfuko wa jimbo
No comments:
Post a Comment