HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 11 August 2017

MAMA GRACA MARSHEL AZINDUA KITABU CHA WANAWAKE WALIOFANIKIWA KIUCHUMI AFRIKA.

 Mke wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela, Mama Graca Marshel  akipiga makofi mbele ya Wanawake waliofanikiwa kiuchumi ambao wameandikwa katika kitabu  cha wanawake Afrika kuashiria uzinduzi wa Kitabu hicho katika Mkutano wa Advance Women Africa
 Mwandishi wa Kitabu cha Wanawake waliofanukiwa kiuchumi Afrika, Lisa O'Donoghue akifanya marejeo ya kitabu hicho kabla ya kuzinduliwa
 Mwandishi wa Habari kutoka Tanzania akitoa maelezo mafupi ya Miasha na Mtoto wake, Ester Karin.
 wanawake Mashuhuri nchini wakiwa katika mkutano huo wakijadili jambo kabla ya uzinduzi wa kitabu
  Mke wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela, Mama Graca Marshel, akiteta na Wanawake wajasiliamali nchini ambao  wameshiriki Mkutano wa Women Advance Afrika
 Sehemu ya Washiriki wa Mkutano huo wakifatilia kwa makini.
Sehemu ya Washiriki wa Mkutano huo wakifatilia kwa makini

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad