HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 15, 2017

KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAPELEKA WAFANYAKAZI WAKE WAPYA NCHINI AFRIKA KUSINI KWA MAFUNZO

 Wafanyakazi wapya wa Kampuni ya EY Tanzania ambao wameajiriwa kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini, wakiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari wa safari ya kuelekea nchini Afrika Kusini kwa mafunzo ya awali katika maswala ya Ukaguzi yanayotolewa na Kampuni hiyo kwa wafanyazi wote wanaopata nafasi ya kujiunga nao. Wafanyakazi hao, ni wale waliofanyiwa usaili kati ya wengi waliokuwa wameomba kazi kupitia mfumo wa ajira wa Kampuni hiyo uliounganishwa kwa APP maalum ya simu, na yao hayo yatakuwa ni ya wiki tatu.
 Wafanyakazi wapya wa Kampuni ya EY Tanzania ambao wameajiriwa kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini, wakielekea sehemu ya kuondokea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari wa safari ya kuelekea nchini Afrika Kusini kwa mafunzo ya awali katika maswala ya Ukaguzi yanayotolewa na Kampuni hiyo kwa wafanyazi wote wanaopata nafasi ya kujiunga nao. 
Picha ya pamoja kabla ya kuondoka.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad