Katibu
Mkuu wa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.
Mpoki Ulisubisya (wa kwanza kushoto) akizungumza waandishi wa habari
(hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa tawi la kampuni mpya ya kimataifa
toka nchini China iitwayo Guilin Pharmaceuticals Tanzania Limited
itakayotengeneza na kusambaza dawa za kukabiliana na ugonjwa wa Malaria
kali iitwayo Artesun nchini Tanzania. (wa pili kulia ni Mwakilishi Mkuu
wa China kwenye masuala ya uchumi na biashara nchini Tanzania (wa pili
kushoto) Makamu mkuu wa Rais wa kampuni ya Guilin Pharmaceutical
Tanzania Lily Su (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Ashok
Pandey.
Katibu Mkuu wa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Mpoki Ulisubisya akipitia baadhi ya nakara za karatasi zilipewa katika uzinduzi wa uzinduzi wa tawi la kampuni mpya ya kimataifa
toka nchini China iitwayo Guilin Pharmaceuticals Tanzania Limited
itakayotengeneza na kusambaza dawa za kukabiliana na ugonjwa wa Malaria
kali iitwayo Artesun nchini Tanzania.
Katibu
Mkuu wa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt
Mpoki Ulisubisya (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa tawi la kampuni mpya ya kimataifa
toka nchini China iitwayo Guilin Pharmaceuticals Tanzania Limited
itakayotengeneza na kusambaza dawa za kukabiliana na ugonjwa wa Malaria
kali iitwayo Artesun nchini Tanzania. (Wa pili kulia ni Mwakilishi Mkuu
wa China kwenye masuala ya uchumi na biashara nchini Tanzania (wa pili
kushoto) Makamu mkuu wa Rais wa kampuni ya Guilin Pharmaceutical
Tanzania Lily Su (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Ashok
Pandey.
No comments:
Post a Comment