HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 31 August 2017

CAG ATOA SEMINA KWA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad akiwasilisha mada kwa Kamati ya Bunge ya Bajeti katika semina iliyohusu Ripoti za CAG kuhusu kaguzi za taarifa za fedha kwa mwaka ulioshia tarehe 30 Juni, 2016

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad