HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 14 July 2017

WAZIRI MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA

 Waziri wa Wizara ya  Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na Naibu Balozi wa Marekani nchini,Dk. Inmi Patterson na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Siasa na Uchumi wa Ubalozi huo, Marilyn Gayton(kulia), walipomtembelea ofisini kwake  kujadili masuala mbalimbali ya Ulinzi na Usalama,jijini Dar es Salaam leo.Kushoto  ni Katibu wa Waziri, Nelson Kaminyoge. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Naibu Balozi wa Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson, akizungumza na  Waziri wa Wizara ya  Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, alipomtembelea Waziri huyo   kujadili Masuala ya Ulinzi na Usalama, jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Siasa na Uchumi wa Ubalozi huo,Marilyn Gayton na kushoto ni Katibu wa Waziri,Nelson Kaminyoge. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akiwa katika picha ya pamoja  na Naibu Balozi wa Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson(kulia), baada ya kumaliza mazungumzo yaliyohusu  Masuala ya Ulinzi na Usalama.Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad