HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 28 July 2017

VIDEO:KLABU YA MAJIMAJI YAJA NA MIKAKTI MIPYA YA MSIMU HUU WA LIGI.

Mwenyekiti wa majimaji ambaye amechaguliwa hivi karibu bwana steven Ngonyani amesema msimu huu mpaya wa ligi kuu TANZANIA bara lazima klabu hiyo ichukue ubigwa.NGONYANI AMESEMA jana mara baada ya kuchaguliwa kwa asilimia 93.5 na anachukua nafasi hiyo iliyoachwa wazi na mtangulizi wake HAMPHREY MILANZI aliyemaliza muda wake huku wajumbe 6 wamechaguliwa isipokuwa makamu mwenyekiti ameshindwa kupatikana sababu ya kukosa vigezo.HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad