Mtaa Kwa Mtaa Blog

VIDEO:BALOZI WA TANZANIA NCHINI MSUMBIJI AMEWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO.

Watanzania waishio katika mikoa ya MTWARA, RUVUMA wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo hususani katika majimbo mawaili ya CABO DELGADO NA NIASSA nchini MSUMBIJI, hayo yamesemwa na balozi wa tanzania nchini MSUMBIJI RAJABU LUHAVI wakati wa mkutano mkutano mkuu wa ujirani mwema kati ya TANZANIA NA MSUMBIJI mkoani RUVUMA.HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget