HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 8 July 2017

TANZIA: MZEE AL HAJJI ABBAKARI GALIATANO AFARIKI DUNIA

Kwa masikitiko makubwa Familia ya Al hajji Galiatano wa Bukoba inawatangazia kifo cha Mzee wao mpendwa Al hajji Abbakari Galiatano kilichotokea  leo Jumamosi July 8, 2017 Katika hospitali ya Mkoa Kagera.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Jumapili saa saba mchana nyumbani kwake Kijijini Buganguzi Muleba.

Tunamuomba Mungu ailaze roho yake mahari pema peponi Amina ... 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad