HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 8 July 2017

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA DUKA LA MY WEDDING SOLUTIONS YAFANA SANA JIJINI DAR

Mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji wa Duka la My Wedding Solutions, Anna Lema (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya wageni waliofika katika Sherehe ya Maadhimisho ya Miaka 10 ya Duka la My Wedding Solutions, iliyofanyika katika Hoteli ya Sea Scape, Mbezi Beach Jijini Dar es salaam usiku wa Julai 7, 2017.
Mmoja wa ma MC wa shughuli hiyo, Salma Msangi akizungumza wakati akiweka sawa mambo katika Sherehe hiyo ya Maadhimisho ya Miaka 10 ya Duka la My Wedding Solutions, iliyofanyika katika Hoteli ya Sea Scape, Mbezi Beach Jijini Dar es salaam usiku wa Julai 7, 2017.
Sakina Lyoka ambaye ni MC pia akisikiliza jibu baada ya kumuuliza swali, Mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji wa Duka la My Wedding Solutions, Anna Lema, katika Sherehe hiyo ya Maadhimisho ya Miaka 10 ya Duka la My Wedding Solutions, iliyofanyika katika Hoteli ya Sea Scape, Mbezi Beach Jijini Dar es salaam usiku wa Julai 7, 2017.
Mkurugenzi Mtendaji wa Duka la My Wedding Solutions, Anna Lema akizungumza na kutoa shukrani kwa wageni waliofika na kufanikisha shughuli hiyo, iliyofanyika katika Hoteli ya Sea Scape, Mbezi Beach Jijini Dar es salaam usiku wa Julai 7, 2017.
Mkurugenzi Mtendaji wa Duka la My Wedding Solutions, Anna Lema akishirikiana na Mama yake Mzazi pamoja na Mtoto wake Doreen kukaka keki maalum ya Sherehe za kuamisha ya Miaka 10 ya Duka la My Wedding Solutions, iliyofanyika katika Hoteli ya Sea Scape, Mbezi Beach Jijini Dar es salaam usiku wa Julai 7, 2017.


Shamim Mwasha a.k.a Zeze akiwa na Mkali wa maswala ya Urembo wa Kina Dada, Maznat Sinare.

Sehemu ya Wageni katika hafla hiyo.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad