HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 5, 2017

PICHA: YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Naibu Spika  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson  akiongoza    kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
 Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.George Masaju akisoma maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2017 katika  kikao sitini  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
 Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Viongozi na wachezaji wa timu ya Singida United wakiwa wakifuatilia mijadala ya bunge   katika kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.

Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad