Mtaa Kwa Mtaa Blog

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU ATEMBELEA MABANDA MBALIMBALI YA MAONESHO YA SABASABA
Makamu wa Rais Samia Suluhu akiwa katika banda la Zanzibar katika maonesho ya biashara ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais Samia Suluhu akiangalia bidhaa katika banda la Zanzibar katika maonesho ya biashara ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais Samia Suluhu akisaini kitabu katika banda la Zanzibar katika maonesho ya biashara ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu akiangalia bidhaa katika banda Karume katika maonesho ya biashara ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu akiwa katika banda la ASAS katika maonesho ya biashara ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu akiangalia uchangiaji damu katika banda la Zantel katika maonesho ya biashara ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.Picha zote na Team Michuzi Sabasaba.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget