HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 13, 2017

KAMPUNI YA HUAWEI KWA KUSHIRIKIANA NA EMINENCE GROUP YASHIRIKI KATIKA KONGAMANO LA MAKAMPUNI YALIYO KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO AFRIKA (

 Maafisa wa Eminence Group wakimsikiliza mdau wa sekta ya mawasiliano aliyetembelea banda la Huawei katika katika kongamano la makampuni yaliyo katika sekta ya mawasiliano Afrika (Mobile 360 Conference 2017) ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Technologies Tanzania Bw Gao Mengdong wa pili kutoka kulia katika picha ya pamoja na maafisa kutoka Eminence Group katika kongamano la makampuni yaliyo katika sekta ya mawasiliano Afrika (Mobile 360 Conference 2017)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad