HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 10 July 2017

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MKOA WA MBEYA LA MUAGA KAMANDA ASF A. MANDOFU NA KUMKARIBISHA KAMANDA ACF J.S IKONKO MKOANI MBEYA...

Kamanda muagwa  mrakibu msaidizi wa jeshi la zimamoto na uokoaji A.Mwandofu akiwaaga baadhi ya Askari na maafisa wa jeshi la zimamoto na ukoaji mkoa wa mbeya katika hafla fupi ya kumuaga na kumkaribisha kamanda Kamishna msaidizi J.S Ikonko Kuwa kamanda wa jeshi hilo la Zimamoto na Uokoji mkoa wa mbeya.
kamanda Kamishna msaidizi J.S Ikonko Akizungumza na baadhi ya Askari wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa mbeya (hawapo pichani) Mara baada ya kukaribishwa rasmi kuwa kamanda wa jeshi la zimamoto na Uokoaji  kwa mkoa wa mbeya.
Kutoka kulia ni kamanda wa Jeshi la magereza mkoa wa mbeya SACP, Poul Mwankingi (Mgeni Rasmi) akipokea zawadi ya Kifaa cha kuzimia Moto kutoka kwa Askari Poul Kabwogi katika Tafrija fupi ya kumuaga Kamanda muagwa  mrakibu msaidizi wa jeshi la zimamoto na uokoaji A.Mwandofu na kumkaribisha kamanda Kamishna msaidizi J.S Ikonko Kuwa kamanda wa jeshi hilo la Zimamoto na Uokoji mkoa wa mbeya.
Picha ya Pamoja mgeni rasmi kamanda wa Jeshi la magereza mkoa wa mbeya SACP, Poul Mwankingi, Kamanda muagwa  mrakibu msaidizi wa jeshi la zimamoto na uokoaji A.Mwandofu, kamanda mpya Kamishna msaidizi J.S Ikonko, Maafisa na Askari wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa mbeya sanjari na wageni waalikwa walio hudhuria hafla hiyo iliyo fanyika katika ukumbi mdogo wa mkapa uliopo jijini mbeya siku ya tarehe 8,07,2017. 
 PICHA ZOTE NA MR.PENGO MBEYA.
MAELEZO NA FC EMMANUEL SPALIKA (PREI MBEYA)

  


   

  


    


     
  
  


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad