HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 24 June 2017

WAKAZI WA MTAA WA MPAKANI MAGOMENI KAGERA WAOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI WA DARAJA


 Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mpakani Magomeni Kagera kata ya Ndugumbi, Shaaban Kawambwa akiwa amembeba mmoja wa watoto wakati akiwavusha kwenye daraja la mpakani lilalounganisha eneo la Kagera Ndugumbi na Tandale ambalo usalama wake ni mdogo kwa wavukaji hasa watoto wadogo, kama alivyokutwa na kamera yetu leo Jijini Dar es salaam.

 Mjumbe wa Mtaa huo akiendelea la zoezi hilo la kuwavusha watoto kama alivyokutwa na Kamera yetu leo.
Mmoja wa wakazi wa maeneo la Mpakani na Tandale akivuka kwenye daraja hilo kwa uangalifu na umakini mkubwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad