HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Sunday, 18 June 2017

TIGO YAFUTURISISHA WATOTO YATIMA MIKOA YA MWANZA NA MBEYA

Meneja wa Kampuni ya Tigo Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Ladislaus Karlo (kushoto) akimkabidhi sehemu ya zawadi kutoka kampuni hiyo kwa Mhasibu wa Kituo cha Kulelea watoto yatima Cha Nuru, kilicho Uyole Jijini Mbeya,Semu Mwansasu, (kulia) kabla ya wafanyakazi wa Tigo Mbeya kushiriki pamoja na watoto hao kwenye futari iliyoandaliwa na Tigo ofisi ya Mbeya.
Meneja wa Kampuni ya Tigo Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Ladislaus Karlo akikabidhi sehemu ya zawadi kutoka kampuni hiyo kwa Kituo cha Kulelea watoto yatima Cha Nuru, kilicho Uyole Jijini Mbeya,Semu Mwansasu, (kulia) kabla ya wafanyakazi wa Tigo Mbeya kushiriki pamoja na watoto hao kwenye futari iliyoandaliwa na Tigo ofisi ya Mbeya.

Mwanafunzi wa darasa la nne wa Islamic Yatima Foundation Fadhira Hamidu, akipokea msaada wa chakula kwa niaba ya wengine, kutoka kwa Meneja Mauzo Mkoa wa Mwanza wa Kampuni ya Tigo Kassim Aziz Kassim, wakati wa hafla ya makabidhiano eneo la Ilemela jijini Mwanza juzi.Msaada wa Sh 3.5 Milion ulipokelewa.Mwanafunzi wa darasa la saba wa Islamic Yatima Foundation Zahor Hamoud, akipokea msaada wa chakula kwa niaba ya wengine, kutoka kwa Meneja Mauzo Mkoa wa Mwanza wa Kampuni ya Tigo Kassim Aziz Kassim, wakati wa hafla ya makabidhiano eneo la Ilemela jijini Mwanza juzi.Msaada wa Sh 3.5 Milion ulipokelewa.

Wanafunzi wa Islamic Yatima Foundation, wakipata futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Tigo eneo la Ilemela jijini Mwanza juzi.

Wanafunzi wa Islamic Yatima Foundation, wakipata futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Tigo eneo la Ilemela jijini Mwanza juzi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad