Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka kundi la Wasafi (WCB), Rayvanny ameibuka mshindi wa Tuzo ya Muziki za BET katika kipengele cha Viewer's Choice Best New International Act 2017.
Sunday, June 25, 2017

Rayvanny atwaa Tuzo BET 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment