Furaha ya hotuba nzuri
Furaha ya hotuba nzuri
Kutoka kushoto ni ni Meneja Pensheni za Wastaafu wa PSPF, Bw. Mohammed Salim, Meneja Mipango na Utafiti, wa PSPF, Bw. Luseshelo Njeje, na Mkurugenzi wa Masoko Mfuko wa UTT-AMIS, Bw. Daudi Mbaga, wakifurahia jambo
Mshiriki wa semina akionyesha furaha yake kufuatia hotuba murua ya Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan
Washiriki wakifuatilia semina
Huyu ni mmoja wa wastaafu ambaye sasa anafaidika na Mafao ya PSPF, akionyesha shukrani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Samia Sukuhu Hassan, akipewa maelezo ya utangulizi kuhusu semina kwa
wastaafu watarajiwa toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.
Adam Mayingu, ambapo baadaye Mama Samia lifungua rasmi semina hiyo iliyofanyika
ukumbi wa chuo cha watumishi wa BoT, jijini Mwanza leo Juni 3, 2017. Zaidi ya
wastaafu watarajiwa 450 wanashiriki semina hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mhe. John Mongela akiongea
Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Mwanza nao walikuwepo
Baadhi ya washiriki wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, amakamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan
Makamu wa Rais, akisindikizwa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Kijaji, Mkurugenzi Mkuu Mayingu, na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Mongela
Makamu
wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan, (wapili kulia), akisalimiana na Kaimu
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensehni wa PSPF, Bw.Nyakimuro Muhoji, wakati
akiwasili ukumbi wa chuo cha watumishi wa BoT jijini Mwanza leo Juni 3, 2017
kufungua rasmi semina kwa wastaafu watarajiwa iliyoandaliwa na Mfuko huo na
kuwaleta pamoja washiriki zaidi ya 450n kutoka wilaya zote saba za mkoa wa
Mwanza. Anayeshuhudia wapili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam
Mayingu.
Sehemu ya washiriki wa semina
Mkurugenzi wa PSPF, Bw. Gabriel Silayo, (kushoto) ambaye anasimamia Mipango na Uwekezaji na Bi. Neema Muro anayeshughulikia Uendeshaji wakifuatilia semina hiyo.
Baadhi ya washiriki wakisikiliza kwa utulivu maelezo yaliyokuwa yakitolewa na wasemaji wakionhozwa na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan
No comments:
Post a Comment