HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 16, 2017

Benki ya NMB yafuturu pamoja na wateja wake Mjini Zanzibar

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB – Abdulmajid Nsekela (wa kwanza kulia) akijiandaa kumkabidhi zawadi ya ramadhani Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud ikiwa ni zawadi maalumu kwa ajili ya Ramadhani mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Hafla hii ya Futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi.
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud (kulia) akimshukuru Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB – Abdulmajid Nsekela baada ya kupokea zawadi maalumu kwa ajili ya Ramadhani mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Hafla hii ya Futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi. Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani mjini Zanzibar wakiwa kwenye hafla ya futari Mjini Zanzibar. Hafla hiyo ya futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi.
Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani mjini Zanzibar wakiwa kwenye hafla ya futari Mjini Zanzibar. Hafla hiyo ya futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi. Baadhi ya viongozi mbalimbali na wa Benki ya NMB wakiwa kwenye hafla ya futari Mjini Zanzibar. Hafla hiyo ya futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad