HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 13, 2017

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA MAY 12, 2017.

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakali jambo wakati akiongoza    kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
 Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake leo katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
  Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe.Hussein Bashe akisoma Taarifa ya Kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia  katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashitu Kijaji akizungumza jambo na Mbunge wa Chemba Mhe.Juma Nkamia  katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
 Mbunge wa Hanang’ Mhe.Mary Nagu  akizungumza jambo na Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Martha Umbulla katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Suleiman jafo katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
 Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete akizungumza jambo na wabunge wenzie katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.

Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad