HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 25 May 2017

VIJANA KUTOKA NCHI MBALIMBALI WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA

Baadhi ya vijana kutoka nchi mbalimbali ambao ni wageni wa Mkutano wa TIMUN 2017 wakiwa wamekusanyika kwa pamoja kwenye ukumbi wa Chuo kikuu cha Nelson Mandela jijini Arusha, tayari kwa safari ya kutembelea Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyopo jijini humo, ikiwa ni ziara ya maalum ya kujifunza na kuufahamu umuhimu wa Ushirikiano wa nchi za Jumuiya hiyo. Nainu balozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel ndiye aliyeratibu ziara hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad