
Afisa kilimo kutoka kampuni ya Yara Tanzania Ltd ambao ni wazalishaji na wasambazaji wa mbolea nchini, Maulid Mkima (kushoto) akitoa elimu juu ya matumizi bora ya mbolea ya YaraMila WINNER, YaraLiva NITRABOR na YaraVita TRACEL BZ kwa ajili ya zao la viazi kwa wakulima katika kijiji cha Simambwe Wilaya ya Mbeya.
Afisa
kilimo kutoka kampuni ya Yara Tanzania Ltd ambao ni wazalishaji na
wasambazaji wa mbolea nchini, Maulid Mkima (kushoto) akiwa na mmoja wa
wakulima wa viazi katika kijiji cha Simambwe Wilaya ya Mbeya, Furaha
Ngala alipotembelea shambani kwake na kuona matokea ya zao hilo baada ya
kutumia mbolea aina ya YaraMila WINNER, YaraLiva NITRABOR na YaraVita
TRACEL BZ.
Afisa kilimo kutoka kampuni ya Yara Tanzania Ltd ambao ni wazalishaji na wasambazaji wa mbolea nchini, Maulid Mkima (katikati) akiwa shambani kwa mkulima wa viazi katika kijiji cha Simambwe Wilaya ya Mbeya, Furaha Ngala (kulia) kwa ajili ya kukagua maendeleo ya zao hilo baada ya kutumia mbolea ya YaraMila WINNER, YaraLiva NITRABOR na YaraVita TRACEL BZ mpangilio wa lisha linganifu kwenye viazi. Kushoto ni bwana shamba msaidizi wa kampuni hiyo kutoka Mbeya, Medson Joseph
No comments:
Post a Comment