Mtaa Kwa Mtaa Blog

VODACOM TANZANIA PLC YASHEREHEKEA MIAKA 23 YA UHURU WA AFRIKA YA KUSINI JIJINI

 Balozi wa Afrika ya  Kusini nchini, Thamsanga Dennis Msekelu akipongezwa na Meneja Ruzuku wa Vodacom  Tanzania Foundation, Sandra Oswald, kuhusiana na sherehe ya maadhimisho ya miaka 23 ya Uhuru wa Afrika ya Kusini iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Sherehe hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC.
 Balozi wa Afrika ya  Kusini nchini, Thamsanga Dennis Msekelu akicheza muziki aina ya Kwaito na baadhi ya wageni waalikwa wakati wa kusherehekea maadhimisho ya miaka 23 ya Uhuru wa Afrika ya Kusini, Hafla hiyo iliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Meneja Ruzuku wa Vodacom  Tanzania Foundation, Sandra Oswald (kushoto) akiwa na wageni waalikwa kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka 23 ya Uhuru wa Afrika ya Kusini,Hafla hiyo iliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC na kufanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget