HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 24 May 2017

UBALOZI WA RWANDA NCHINI WAADHIMISHA SIKU KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI DHIDI YA WATUSI

Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania kwa kushirikiana na Wananchi wa Rwanda wanaoshi hapa nchini, wamekutana pamoja leo Mei 24, 2017 katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mauaji wa Kimbari dhidi ya Watusi yaliyotokea miaka 23 iliyopita huko nchini Rwanda, yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani city jijini Dar es salaam.
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura akiongozana na Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim wakati wakiwasili kwenye Ukumbi wa Mlimani city Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mauaji wa Kimbari dhidi ya Watusi yaliyotokea miaka 23 iliyopita huko nchini Rwanda.

Babalozi kutoka nchi mbali mbali wakiwasha mishumaa wakiongozwa na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Mhe. Eugene Kayihura kwenye maaadhimisho ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Saalam.

Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe Edzai Chimonyo akizungumza kwenye maadhimisho ya Mauaji ya Kimbari yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura akizungumza kuhusu mauaji ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda wakati wa maadhimisho ya miaka 23 yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wageni waliohudhilia katika maadhimisho ya Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mauaji wa Kimbari dhidi ya Watusi yaliyotokea miaka 23 iliyopita huko nchini Rwanda, yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Mlimani city, jijini Dar es salaam leo.
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura akizungumza kuhusu mauaji ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda wakati wa maadhimisho ya miaka 23 yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim  akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 13 ya mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Nyimbo za mataifa mawili Tanzania na Rwanda zikiimbwa wakati wa maadhimisho ya miaka 23 ya Kimbali nchini Rwanda yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam

Sheikh Hamis Mtonga akiomba dua wakati wa kuanza maadhimisho ya miaka 23 ya Kimbari ya nchini Rwanda leoBaadhi ya Viongozi na wananchi waioudhuria kwenye maadhimisho ya miaka 23 ya mauaji ya kimbari wakisikiliza dua


Mwakilishi wa Umoja wa Vijana Tanzania. Bi. Joyce Mbiha akiwasilisha mada kwenye maadhimisho ya miaka 23
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani wakiimba nyimbo wakati wa maadhimisho hayo.
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad