HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Sunday, 28 May 2017

MATUKIO KATIKA PICHA: MKUTANO WA BARAZA KUU LA CHADEMA, MJINI DODOMA


MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendelea CHADEMA, Freeman Mbowe akifungua mkutano huo uliofanyika Mkoani Dodoma Mei 27,2017.

Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk Vincent Mashinji akizungumza

Meza kuu

Mwenyekiti wa CHADEM, Freeman Mbowe akisoma taarifa za chama.
Picha zote na Mroki Mroki.Wajumbe wa Baraza Kuu wakiwa katika Mkutano huo mjini DodomaWimbo wa Taifa uliimbwa

Dua ilifanyika kabla ya kuanza mkutano huo.

Wajumbe wakiwa mkutanoni

Wajumbe ambao ni Wabunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Dodoma, Dk Immaculate Sware (kushoto) na Devotha Minja wa Morogoro.


Wajumbe wakifuatilia mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad