HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 11 May 2017

dada Pina Mshana aadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa msaada wa mashine ya kusaidia watoto njiti kupumua

Mwanadada Pina Mshana (wa tatu kushoto) pamoja na Alice Mwakatika kutoka Taasisi ya Doris Mollel, kwa pamoja wakikabidhi moja ya mashine za kusaidia kupua watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti) kwa Mkuu Wadi ya watoto Njiti katika Hospitali ya Mwananyamala, Ernestina Mwipopo. Mashine hiyo imetolewa na Mwanadada Pina Mshana ikiwa ni ishara ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na kuona umuhimu wa kusaidia watoto hao. wengine pichani toka kulia Specioza Ulomi, Grace Lukumay, Elizabeth Lyaruu.
 Pina Mshana akiwa amembema mmoja wa watoto waliozaliwa kabla ya wakati (Njiti) wakati alipofika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es salaam kutoa msaada wa mashine za kusaidia kupumua watoto wanaozaliwa kabla ya wakati, hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad