HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 15 April 2017

TASWIRA YA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA BAADHI YA MAENEO KUJAA MAJI KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

 Mkazi wa Kinondoni B, akitafakari kuvuka kwenda sehemu ya pili kutokana na sehemu hiyo kujaa maji kwa mvua zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es Salaam.

Nyumba zikiwa imezingirwa na maji kutokana mvua zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es Salaam.picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad