HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 20 April 2017

STAILI MPYA YA WIZI WA PIKIPIKI YAIBUKA MKOANI KILIMANJARO

STAILI mpya ya uporaji pikipiki imeanza kuutikisa mkoa wa Kilimanjaro, ambapo watu wasiojulikana hutumia usafiri wa magari kusimamisha madereva wa vyombo hivyo barabarani na kisha kupora na kutokomea.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad