HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 4 April 2017

POLISI NCHINI URUSI WANAMTAFUTA ALIYETEKELEZA SHAMBULIZI LILILOUWA 11


Polisi nchini Urusi wanamtafuta mwanaume mmoja anayeshukiwa kufanya mauaji ya watu 11 kwenye treni huko St Petersburg nchini Urusi, ambaye umri wake unahisiwa kuwa ni miaka 20 mwenye asili ya Asia.Katika tukio hilo watu wapatao 45 walijeruhiwa kutokana na mlipuko uliotokea baina ya vituo viwili vya treni ya aridhini hapo jana. Mamlaka za St Petersburg imetangaza siku tatu za maombolezo.
                                         Majeruhi akikimbizwa hospitali baada ya kutokea mlipuko 
                                       Majeruhi akiwa amebebwa akiwahishwa kupewa matibabu
                                      Mtu huyu ndio anayetuhumiwa kuhusika na shambulizi hilo 
                        Rais wa Urusi Vladimir Putin akiweka shada la maua kuomboleza waliokufa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad