HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 12 April 2017

NSSF TABORA YAKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI KATA YA MTENDENI KWA AJILI YA UJENZI WA ZAHANATIMeneja wa NSSF Mkoa wa Tabora Bi. Nour Aziz (kulia), akikabidhi mifuko 50 ya saruji kwa uongozi wa Kata ya Mtendeni wakiongozwa na Diwani wa Kata hiyo Mh. Yahaya Mhamali katika hafla iliyofanyika mkoani Tabaro.
Diwani wa Kata ya Mtendeni Mh. Yahya Mhamali akitoa neno la shukrani NSSF.
Mkazi wa Mtendeni Bw. Idd Mkwama, akitoa shukrani kwa msaada uliotolewa na NSSF na kutoa rai kwa taasisi zingine kuiga mfano wa NSSF katika kuboresha ustawi wa jamii.

Diwani wa Kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora, Mh. Yahya Mhamali akimuonyesha Meneja wa NSSF Mkoa wa Tabora Bi. Nour Aziz, akiangalia eneo litakalojengwa Zahanati hiyo.
Kukagua eneo la ujenzi wa Zahanati.
Meneja wa NSSF Mkoa wa Tabora Bi. Nour Aziz akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi mifuko 50 ya saruji kwa uongozi wa Kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora, mkoani Tabora.
Diwani ya Kata ya Mtendeni Mh. Yahya Mhamali akizungumza katika hafla hiyo. 
Baadhi ya viongozi wa Kata ya Mtendeni.
Mifuko ya Saruji ikishushwa tayari kwa ajili ya makabidhiano.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad