HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 10 April 2017

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MWANALIBENEKE CATHBERT ANGELO KAJUNA

Leo Aprili 10 ni siku ya kuzaliwa kwa Blogger Cathbert Angelo Kajuna mmiliki wa Kajunason Blog (www.kajunason.com), Namshukru sana mwenyezi Mungu kwa kunilinda mpaka kufika hapa nilipo na kunipa nguvu, ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale, hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo.
Natoa shukrani kubwa kwa familia yangu, ndugu,  jamaa na marafiki wote ikiwa na member wa TBN members na wote waliweza kuwa nami katika safari yangu ya maisha mpaka hii leo namuomba Mwenyezi Mungu aniongezee uhai na uzima ...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad