HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 19, 2017

BALOZI WA MPYA WA CUBA AJITAMBULISHA KWA DK.SHEIN

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na  mgeni wake Balozi mpya wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Lucas Domingo Hermandez Polledo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake  Balozi mpya wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Lucas Domingo Hermandez Polledo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na mgeni wake  Balozi mpya wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Lucas Domingo Hermandez Polledo (katikati)  wakiwa katika mazungumzo   wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha, (kushoto) Mke wa Balozi Bibi. Meylin Suarez pia Afisa Mkuu wa Mambo ya Nje, daraja la Pili (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na mgeni wake  Balozi mpya wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Lucas Domingo Hermandez Polledo (kushoto) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais,(kulia)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU). (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad