HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 7 March 2017

RAIS WA CHEMBA YA BIASHARA, VIWANDA NA KILIMO AHIMIZA WATANZANIA KUTUMIA FURSA YA SOKO LA AWALI.

Rais wa Chemba ya Biashara, viwanda na kilimo, Ndibalema Mayanja, amewataka wananchi na wafanyabiashara wa Mikoa ya Mwanza na Kagera kuchangamkia soko la awali la hisa za TCCIA Investment PLC.
Akizungumza na wananchi na wafanyabiashara wa mikoa hiyo bwana Mayanja alisema “TCCIA Investment PLC ni kampuni ya uwekezaji wa pamoja, imara na inafanya vizuri sana kwani tangu ianzishwe mwaka 2005 ikiwa na mtaji wa shilingi Bilion 1.97 imeweza kukuza mtaji hadi zaidi ya Bilion 28.6 na imekuwa ikilipa gawiwo kwa wanahisa wake. Hii ni fursa muhimu na adhimu muitumie kabla ya tar 14 mwezi huu March. “ alisema Mayanga
Rais huyo wa Chemba akiwa ziarani mkoani Mwanza na Kagera pia alifanya kazi ya kujenga uh

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad