HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 17 March 2017

MAJALIWA AENDA NYUMBANI KWA MAREHEMU KAHAMA KUHANI MSIBA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifariji Mama Jannet Kahama, Mjane wa Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda  kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni wanafamilia.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na Mama Jannet Kahama, Mjane wa Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda  kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni wanafamilia.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Joseph Kahama, mtoto wa marehemu George Kahama wakati  alipokwenda nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam  kutoa pole kwa familia Machi 17, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad