HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 7 March 2017

KITUO CHA MAFUTA CHAWAKA MOTO TEGETA LEO

Kituo cha mafuta cha Petro kilichopo eneo la Tegeta kikionekana kuteketea kwa moto asubuhi hii, huku chanzo kikidaiwa kuwa ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kituoni hapo kushika moto. inaelezwa kuwa Gari hilo limeteketea lote huku sehemu ya kituo hicho pia imeteketea. Kikosi cha zimamoto kipo eneo la tukio kukabiliana na janga hilo.
Moto ukiendelea kuwaka.
Sehemu ya Magari ya vikosi vya Zimamoto yakiwa tayari kukabiliana na tukio hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad