HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 31 March 2017

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA, YAANZA KUPITISHA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI MJINI DODOMA KABLA YA VIKAO VYA BUNGE LA BAJETI KUANZA

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba, akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa majukumu ya wizara yake kwa Bajeti ya mwaka wa fedha wa uliopita katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini [IGP] Ernest Mangu aliyesimama akitoa ufafanuzi kuhusu hoja mbalimbali zilizoulizwa na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, huku Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira wa kwanza kulia na Naibu Katibu Mkuu wake, Balozi Hassan Simba Yahaya wakimsikiliza kwa makini. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira wa kwanza kulia na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Hassan Simba Yahaya anayemfuatia wakifuatilia ufafanuzi uliokuwa ukitolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini [IGP] Ernest Mangu aliyesimama kuhusu Oparesheni mbalimbali za kuzuia uhalifu hapa nchini, wakati wa Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dr. Anna Peter Makakala, akiwa pamoja na watendaji wengine wa Wizara Mambo ya Ndani ya Nchi, akimfuatilia kwa makini Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Balozi Adad Rajab wakati Mwenyekiti huyo hayupo pichani, akiwaongoza Wajumbe wa Kamati hiyo kuipitia Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bjeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini [IGP] Ernest Mangu aliyesimama akitoa ufafanuzi kuhusu hoja mbalimbali zilizoulizwa na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, huku Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira wa kwanza kulia na Naibu Katibu Mkuu wake, Balozi Hassan Simba Yahaya wakimsikiliza kwa makini. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad