HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 14 March 2017

DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA BRAZIL LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Balozi wa Brazil katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Carlos Alfonso lglesias Puente   alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi wa Brazil katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Carlos Alfonso lglesias Puente alipofika Ikulu Mjini Unguja leo (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad