HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 27, 2017

BASATA YAKABIDHI TUZO KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE

 Mkurugenzi wa Masoko wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), Vivian Shaluwa akizungumza na wadau waliofika katika hafla ya ugawaji vyeti kwa wanafunzi wa kidato cha nne waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha nne somo la Sanaa.
 Baadhi ya washiriki waliofika kushuhudia ugawji huo wa vyeti
 Rais wa Shirikisho la Sanaa za Maonyesho, William Chitanda akizungumza juu ya umuhimu wa wanafunzi kufanya sanaa pindi wanapokuwa mashuleni
 Baadhi wanafunzi wa Sekondari wakiwa wana fatilia hafla hiyo
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Makongo wakitoa burudani katika sherehe za kukabidhi vyeti kwa wanafunzi wa kidato cha nne waliofanya vizuri katika mtihani ya kidato cha nne
 Afisa wa Basata Bonnah Masenge akizungumza na wadau wa Sanaa walifika katika hafla hiyo
 Mwanamuziki mkongwe John Kitime akitoa somo kwa wanafunzi ju ya ushikaji wa kipaza sauti hili waweze kusikika vizuri
 Mwanafunzi Royola Sekondari , Shadrack Mboya akikabidhiwa  Cheti na psesa Taslim shilingi laki tano baada ya kufanya vizuri katika mtihani wa kidato cha nne
 Mwanafunzi wa Royola Sekondari , William Mukasa  akikabidhiwa zwadi ya cheti na fedha tslim shilingi laki mbili na amsini
 Mwanafunzi wa Royola Sekondari Josia Sooi akikisitiziwa jambo mara abaada ya kupewa zawadi yake na William Chitanda
 Wanafunzi  Royola Sekondari walifanya vizuri wakiwa katika picha ya pamoja
Mwanafunzi wa Azania Sekondari , Benjamini Kulwa akipokea cheti na fedha kutoka kwa mgeni rasmi William Chatanda

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad