HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 17 March 2017

ANCELOTTI NA WACHEZAJI WAKE WAFURAHIA KUPANGWA NA REAL MADRID


 KOCHA wa timu ya Bayern Munich Carlos Ancelotti ameoneshwa kufurahishwa na upangaji mechi za robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya uliofanyika leo mchana.

Katika ukurasa wa Twitter wa klabu hiyo yenye maskani yake katika jiji la Munich nchini Ujerumani waliandika kuwa ni furaha kwake kwa yeye kupangwa kucheza na Real Madrid kwani anawafahamu vizuri.

Awali Ancelotti alikuwa kocha wa timu ya Real Madrid na wachezaji wengi waliokuwa anawafahamu , na furaha hiyo imeenda mpaka kwa wachezaji wake ambao wengi walionekana wakitweet kwenye akaunti zao na kuwakaribisha kwenye hatua ya robo fainaki itakayopigwa Aprili 15 jijini Munich kwenye dimba la Allianz Arena.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad