Mtaa Kwa Mtaa Blog

UTALII WA NDANI: TEMBELEA KAOLE SNAKE PARK-BAGAMOYO KUJIONEA AINA MBALIMBALI YA NYOKA NA NDEGE PIA

Kaole Snake Park - Bagamoyo ndio sehemu pekee utakayoweza kuona nyoka wa kila aina na kuwafahamu kiundani, kwani ni hifadhi yenye aina mbalimbali ya nyoka na baadhi ya wanyama wengine pamoja na ndege. hutajuta kutembelea Kaole Snake Park - Bagamoyo.
Na baada ya kuufanya utalii huo wa ndani katika Kaole Snake Park, utaweza jipatia vyakula vya aina zote na vinywaji mbalimbali toka katika mghahawa wa kisasa huku ukipata upepo mwanana wa Bahari. Ni mahali pazuri kutembelea na familia. Tafadhali wajulishe ndugu, marafiki na majirani .

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget