HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Sunday, 12 February 2017

SMART BOMBA YA VODACOM TANZANIA YACHANGAMKIWA JIJINI DAR

Mkazi wa Vijibweni kigamboni jijini Dar es Salaam,Fred Anthony akifafanuliwa jambo jana na mfanyakazi wa Vodacom Tanzania,Edisa Mathias,Juu ya ubora wa simu mpya aina ya Smart Bomba ya kampuni hiyo yenye matumizi ya lugha ya Kiswahili inayopatikana kwa shilingi 99,000/-tu iliyoambatanishwa na kifurushi chenye intanenti ya GB 10 za bure kwa kipindi cha miezi 3.
Mkazi wa mji mwema kigamboni jijini Dar es Salaam,Shabani Hussein akisajiliwa namba ya simu yake jana na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, Armoury Shabani wakati wa promosheni ya simu mpya aina ya Smart Bomba yenye matumizi ya lugha ya Kiswahili inayopatikana kwa shilingi 99,000/-tu iliyoambatanishwa na kifurushi chenye intanenti ya GB 10 za bure kwa kipindi cha miezi 3.
Mkazi wa Machava Kigamboni jijini Dar es Salaam,James John akipatiwa huduma ya kusajiliwa namba ya simu yake jana na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,Wakati wa promosheni ya simu mpya aina ya Smart Bomba yenye matumizi ya lugha ya Kiswahili inayopatikana kwa shilingi 99,000/-tu iliyoambatanishwa na kifurushi chenye intanenti ya GB 10 za bure kwa kipindi cha miezi 3.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad