HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 8, 2017

RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA SAUDI ARABIA, MOROCCO, ZAMBIA, CUBA, IRAN NA BURUNDI LEO


 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Mohamed Ben Mansour Al Malek Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017.
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Morocco Mhe Abdellah Benryane Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017
  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Zambia Mhe. Benson Keith Chali  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017. 
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Cuba Mhe. Lucas Dominingo Hermandes Polledo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Iran Mhe Mousa Farhang  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa  Burundi  nchini Mhe. Gervais Abayeho Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Fenruari 8, 2017.

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad