HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 16, 2017

KATIBU MKUU RWEGASIRA: UHUSIANO KATI YA TANZANIA NA MSUMBIJI BADO UPO IMARA, AWATAKA WATANZANA KUFUATA SHERIA ZA UHAMIAJI NCHI WANAZOISHI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Watanzania wanaorudishwa nchini kutoka Msumbiji. Rwegasira amesema Uhusiano kati ya Tanzania na Msumbiji unaendelea kuimarika kila siku, hivyo aliwataka Watanzania wafuate Sheria za Uhamiaji za nchi hiyo kwani zoezi linalofanyika nchini humo halijawalenga Watanzania pekee bali raia wote wanaoishi na kufanya kazi bila kufuata taratibu za kisheria nchini humo. Aidha, amewataka wananchi kutolikuza tukio hilo bila sababu za msingi. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo.  Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO

SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad