HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 4 February 2017

DKT,MARY MWANJELWA AONGOZA MAADHIMISHO YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WILAYA YA MBEYA...


Mbunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya Dk.Mary Mwanjelwa akiwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 40 ya chama cha mapinduzi(CCM) Mbeya mjini ambapo ndiko anakotokaea amfagilia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa kazi nzuri na kuwaasa wana CCM kumtumia ipasavyo. Pichani kutoka kushoto ni Dk.Mary Mwanjelwa,Afisa muuguzi Neema Kapungu,pamoja na Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Kiwanja Mpaka ndugu Stella Moses katika mazungumzo wakati mbunge Mwanjelwa alipoenda kuwajulia hali wagonjwa.PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.
Mbunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya Dk.Mary Mwanjelwa akisalimiana na mtoto wa Bi Vumilia Daud moja kati ya akina mama walio jifungua katika Hospitali hiyo ya Kiwanja Mpaka iliyopo Jijini Mbeya.
Mbunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya Dk.Mary Mwanjelwa pamoja na viongozi mbalimbali wa Ccm wilaya ya mbeya akiongoza zoezi la ugawaji wa zawadi mbalimbali kwa wagonjwa walio kwenda kupata matibabu katika Hospitali ya Kiwanja mpaka ikiwa ni kuadhimisha miaka 40 ya chama cha mapinduzi Ccm kiwilaya maadhimisho yalitofanyika katika ukumbi wa shule ya sekondari Sangu jijini Mbeya,
Baadhi ya wanachama wa chama cha mapinduzi Ccm wakifuatilia kwa makini mkutano wa ndani wa Mh.Dkt.Mary Mwanjelwa katika maadhimisho ya miaka 40 ya Ccm Wilaya ya Mbeya mjini. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad