HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 2 February 2017

Dawasco kinondoni yaendelea kubadilisha mita za maji

Meneja wa DAWASCO Mkoa wa Kinondoni Judith Singinika (Aliyesimama) akiwa na fundi kutoka DAWASCO wakibadilisha mita chakavu na kuweka mita mpya ya Maji katika maeneo ya Barabara ya Dunga Mtaa wa Isere, Kinondoni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad