HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 2 February 2017

CHINI YA MWAROBAINI "TORECA HAIR CUTTING SALOON" KUNYOLEWA KWA FOLENI

Katika katiza katiza za Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog, ilibahatika kuinasa picha hii ya saloon maarufu ya kukata nywele iliyopo kando ya uwanja wa Mwembeyanga, Temeke jijini Dar es salaam. kikubwa kilichoshangaza wengi, ni namna salooni hii inavyowapanga watu wanaokwenda kunyolewa. ngoja nami zikuekue nilajiweke foleni kwa kinyozi huyu anaeoenaka ni mwenye uhodari wa hali ya juu katika kutengeneza mitindo ya nywele.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad