HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 15, 2017

BWENI LA SHULE YA SEKONDARI ITAMBA WILAYANI MAKETE LATEKETEA KWA MOTO

Bweni la Wasichana la shule ya sekondari Itamba iliyopo katika tarafa ya Matamba wilayani Makete mkoani Njombe jana liliteketea kwa moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika.

Angalia video ya tukio hilo hapo chini:-

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad