HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 13 February 2017

BREAKING NYUZZZZZZZ......: MOTO WAZUKA JENGO LA NSSF WATER FRONT JIJINI DAR MUDA HUU

Jengo la NSSF Water Front lililopo eneo la Stesheni jijini Dar es Salaam likionekana kufuka moshi mzito ikidaiwa limeshika moto mchana huu ambapo mpaka sasa hakujajulikana nini chanzo cha moto huo. Kwa taarifa zaidi zinakuijia hapo baadae.
Baadhi ya wapitanjia wakitazama jengo hilo linadaiwa kuungua moto muda huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad