HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 1, 2017

BOKO BEACH VETERANS WALIVYOUKARIBISHA MWAKA MPYA 2017

Katika ile hali ya kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2017, Timu ya Boko Beach Veterans (BBV) iliandaa mechi ya kirafiki baina ya BBV Basheka na BBV Kilimba mchezo uliopigwa katika uwanja wa BBV, Boko Jijini Dar es salaam. Mchezo huo ambao ulikuwa ni wa kuvutia sana kwa timu zote kucheza kwa kushambuliana kwa zamu, ulimalizika kwa timu ya BBV Basheka kuibuka na ushindi mnono wa bao 3-0 dhidi ya wapinzani wao, BBV Kilimba. Picha za matukio mbalimbali ya mchezo huo, zipo hapo chini. endelea kuzicheki.














































No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad